Ruth 4:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Boazi akawaita wazee kumi wa mji, akawaomba wao pia waketi hapo. Wakaketi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Boazi akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, “Ketini hapa.” Nao wakaketi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, Ninyi nanyi, ketini hapa. Wakaketi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Boazi akawaita wazee kumi wa mji, akawaomba wao pia waketi hapo. Wakaketi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Boazi akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, “Ketini hapa.” Nao wakaketi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Boazi akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, “Ketini hapa.” Nao wakaketi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, Ninyi nanyi, ketini hapa. Wakaketi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Boazi akawaita wazee kumi wa mji, akawaomba wao pia waketi hapo. Wakaketi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akachukua watu kumi walio wazee wa mjini, akawaambia: Kaeni hapa! Nao wakakaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, Ninyi nanyi, ketini hapa. Wakaketi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Boazi akawaita wazee kumi wa muji, akawaomba wao vilevile waikae pale. Wakaikaa.