Ruth 4:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mtu huyo alimwambia Boazi, “Lifidie shamba,” kisha alivua kiatu chake na kumpa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi yule jamaa wa karibu wa kukomboa akamwambia Boazi, “Wewe inunue mwenyewe.” Naye huyo jamaa akavua kiatu chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi yule jamaa akamwambia Boazi, Wewe ujinunulie mwenyewe. Akavua kiatu chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mtu huyo alimwambia Boazi, “Lifidie shamba,” kisha alivua kiatu chake na kumpa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi yule jamaa wa karibu wa kukomboa akamwambia Boazi, “Wewe nunua mwenyewe.” Naye huyo jamaa akavua kiatu chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi yule jamaa wa karibu wa kukomboa akamwambia Boazi, “Wewe inunue mwenyewe.” Naye huyo jamaa akavua kiatu chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi yule jamaa akamwambia Boazi, Wewe ujinunulie mwenyewe. Akavua kiatu chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mtu huyo alimwambia Boazi, “Lifidie shamba,” kisha alivua kiatu chake na kumpa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo, yule mwingiliaji alipomwambia Boazi: Linunue, liwe lako! akakivua kiatu chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi yule jamaa akamwambia Boazi, Wewe ujinunulie mwenyewe. Akavua kiatu chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mutu huyo alimwambia Boazi: “Ulikomboe shamba”, kisha akavua kiatu chake na kumupa.