Song of Solomon 1:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mashavu yako yavutia kwa vipuli, na shingo yako kwa mikufu ya johari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mashavu yako yanapendeza yakiwa na vipuli, shingo yako ikiwa na mikufu ya vito.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mashavu yako ni mazuri kwa mashada, Shingo yako kwa mikufu ya vito.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mashavu yako yavutia kwa vipuli, na shingo yako kwa mikufu ya johari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mashavu yako yanapendeza yakiwa na vipuli, shingo yako ikiwa na mikufu ya vito.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mashavu yako yanapendeza yakiwa na vipuli, shingo yako ikiwa na mikufu ya vito.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mashavu yako ni mazuri kwa mashada, Shingo yako kwa mikufu ya vito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mashavu yako yavutia kwa vipuli, na shingo yako kwa mikufu ya johari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mashavu yako hupendeza kwa kili za nywele, nayo shingo yako yenye ushanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mashavu yako ni mazuri kwa mashada, Shingo yako kwa mikufu ya vito.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pete za masikio zinapendeza mashavu yako. Mikufu ya mawe ya bei kali inapendeza shingo yako.