Song of Solomon 1:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme alipokuwa kwenye kochi lake, marashi yangu ya nardo yalisambaa kila mahali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme alipokuwa mezani pake, manukato yangu yalisambaza harufu yake nzuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Muda mfalme alipoketi juu ya matakia, Nardo yangu ilitoa harufu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme alipokuwa kwenye kochi lake, marashi yangu ya nardo yalisambaa kila mahali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mfalme alipokuwa mezani pake, manukato yangu yasambaza harufu yake nzuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mfalme alipokuwa mezani pake, manukato yangu yalisambaza harufu yake nzuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Muda mfalme alipoketi juu ya kochi, Nardo yangu ilitoa harufu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme alipokuwa kwenye kochi lake, marashi yangu ya nardo yalisambaa kila mahali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akiwa anakaa mezani pake, manukato yangu ya narada hutoa mnuko wao mzuri.”
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Muda mfalme alipoketi juu ya matakia, Nardo yangu ilitoa harufu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme alipokuwa akiikaa kwenye meza yake, marasi yangu ya nardo yalisambaa kila pahali.