Song of Solomon 1:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpenzi wangu ni kama maua ya hina yachanuayo, kwenye mashamba ya mizabibu huko Engedi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpenzi wangu kwangu mimi ni kama kishada cha maua ya mhina kutoka mashamba ya mizabibu ya En-Gedi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpendwa wangu ni kama kishada cha hina, Katika mizabibu huko Engedi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpenzi wangu ni kama maua ya hina yachanuayo, kwenye mashamba ya mizabibu huko Engedi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpenzi wangu kwangu mimi ni kama kishada cha maua ya mhina yaliyochanua kutoka mashamba ya mizabibu ya En-Gedi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpenzi wangu kwangu mimi ni kama kishada cha maua ya mhina kutoka mashamba ya mizabibu ya En-Gedi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpendwa wangu ni kama kishada cha hina, Katika mizabibu huko Engedi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpenzi wangu ni kama maua ya hina yachanuayo, kwenye mashamba ya mizabibu huko Engedi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpendwa wangu ni kichala cha mhina kitokacho mizabibuni kwenye Engedi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpendwa wangu ni kama kishada cha hina, Katika mizabibu huko Engedi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupenzi wangu ni kama maua ya hina yanayochanua kwenye mashamba ya mizabibu kule Engedi.