Song of Solomon 1:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika u mzuri ewe nikupendaye, u mzuri kweli! Majani mabichi yatakuwa kitanda chetu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu! Ee, tazama jinsi unavyopendeza! Na kitanda chetu ni cha majani mazuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, u mzuri, mpendwa wangu, Wapendeza, na kitanda chetu ni majani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika u mzuri ewe nikupendaye, u mzuri kweli! Majani mabichi yatakuwa kitanda chetu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu! O, tazama ni jinsi gani unavyopendeza! Na kitanda chetu ni cha majani mabichi mazuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu! Ee, tazama jinsi unavyopendeza! Na kitanda chetu ni cha majani mazuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, u mzuri, mpendwa wangu, Wapendeza, na kitanda chetu ni majani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika u mzuri ewe nikupendaye, u mzuri kweli! Majani mabichi yatakuwa kitanda chetu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe nawe, mpendwa wangu, u kijana mzuri, unapendeza kweli. Malalo yetu ni majani mabichi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, u mzuri, mpendwa wangu, Wapendeza, na kitanda chetu ni majani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika sura yako ni nzuri, ewe ninayekupenda, sura yako ni nzuri kweli! Majani mabichi yatakuwa kitanda chetu;