Song of Solomon 1:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi wanawake wa Yerusalemu, mimi ni mweusi na ninapendeza, kama mahema ya Kedari, kama mapazia ya Solomoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi ni mweusi, lakini napendeza, enyi binti za Yerusalemu, mweusi kama mahema ya Kedari, kama mapazia ya hema la Sulemani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi wanawake wa Yerusalemu, mimi ni mweusi na ninapendeza, kama mahema ya Kedari, kama mapazia ya Solomoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi ni mweusi, lakini napendeza, Enyi binti za Yerusalemu, weusi kama mahema ya Kedari, kama mapazia ya hema la Solomoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi ni mweusi, lakini napendeza, enyi binti za Yerusalemu, mweusi kama mahema ya Kedari, kama mapazia ya hema la Sulemani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi ni mweusi mweusi, lakini napendeza, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi wanawake wa Yerusalemu, mimi ni mweusi na ninapendeza, kama mahema ya Kedari, kama mapazia ya Solomoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi ni mweusi, lakini ninapendeza, ninyi wanawake wa Yerusalemu! Nafanana na mahema ya Kedari, tena na mazulia ya Salomo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wabinti wa Yerusalema, mimi ni mweusi. Ninapendeza kama mahema ya Kedari, kama mapazia ya nyumba ya Solomono.