Song of Solomon 1:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe upendezaye kuliko wanawake wote; kama hujui, fanya hivi: Zifuate nyayo za kondoo; basi, walishe mbuzi wako karibu na hema za wachungaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama hujui, ewe mwanamke mzuri kuliko wote, fuata nyayo za kondoo, na kulisha wana-mbuzi wako karibu na mahema ya wachungaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usipojua, wewe uliye mzuri katika wanawake, Shika njia uzifuate nyayo za kondoo, Na kuwalisha wana-mbuzi wako Karibu na hema za wachungaji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe upendezaye kuliko wanawake wote; kama hujui, fanya hivi: zifuate nyayo za kondoo; basi, walishe mbuzi wako karibu na hema za wachungaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama hujui, ewe mwanamke mzuri kuliko wote, fuata nyayo za kondoo na kulisha wana-mbuzi wako karibu na hema za wachungaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama hujui, ewe mwanamke mzuri kuliko wote, fuata nyayo za kondoo, na kulisha wana-mbuzi wako karibu na hema za wachungaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usipojua, wewe uliye mzuri katika wanawake, Shika njia uzifuate nyayo za kondoo, Na kuwalisha wana-mbuzi wako Karibu na hema za wachungaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe upendezaye kuliko wanawake wote; kama hujui, fanya hivi: Zifuate nyayo za kondoo; basi, walishe mbuzi wako karibu na hema za wachungaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
“Usipopajua mwenyewe uliye mzuri kuliko wanawake wengine, toka tu na kuzifuata nyayo za kondoo, kavichunge vitoto vyako vya mbuzi matuoni kwa wachungaji!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usipojua, wewe uliye mzuri katika wanawake, Shika njia uzifuate nyayo za kondoo, Na kuwalisha wana-mbuzi wako Karibu na hema za wachungaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe unayependeza kuliko wanawake wote; kama haujui, fanya hivi: ufuate nafasi kondoo walipopita; basi, uwakulishie mbuzi wako karibu na hema za wachungaji.