Song of Solomon 1:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ee mpenzi wangu, nakulinganisha na farasi dume wa magari ya Farao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpendwa wangu, ninakufananisha na farasi jike aliyefungwa katika mojawapo ya magari ya vita ya Farao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpenzi wangu, nimekulinganisha Na farasi katika magari ya Farao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ee mpenzi wangu, nakulinganisha na farasi dume wa magari ya Farao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpenzi wangu, ninakufananisha na farasi jike aliyefungwa katika mojawapo ya magari ya vita ya Farao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpenzi wangu, ninakufananisha na farasi jike aliyefungwa katika mojawapo ya magari ya vita ya Farao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpenzi wangu, nimekulinganisha Na farasi katika magari ya Farao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ee mpenzi wangu, nakulinganisha na farasi dume wa magari ya Farao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninakufananisha wewe, mpenzi wangu, na farasi avutaye gari la Farao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpenzi wangu, nimekulinganisha Na farasi katika magari ya Farao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ee mupenzi wangu, ninakulinganisha na farasi dume wa magari ya Mufalme wa Misri.