Song of Solomon 2:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpenzi wangu aniambia: “Inuka basi, ewe mpenzi wangu, unipendezaye, njoo twende zetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpenzi wangu alizungumza na kuniambia, “Inuka, mpendwa wangu, mrembo wangu, tufuatane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpendwa wangu alinena, akaniambia, Ondoka, mpenzi wangu, mzuri wangu, uje zako,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpenzi wangu aniambia: “Inuka basi, ewe mpenzi wangu, unipendezaye, njoo twende zetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpenzi wangu alizungumza na kuniambia, “Inuka, mpenzi wangu, mrembo wangu, tufuatane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpenzi wangu alizungumza na kuniambia, “Inuka, mpenzi wangu, mrembo wangu, tufuatane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpendwa wangu alinena, akaniambia, Ondoka, mpenzi wangu, mzuri wangu, na uje huku,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpenzi wangu aniambia: “Inuka basi, ewe mpenzi wangu, unipendezaye, njoo twende zetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpendwa wangu ananiita na kuniambia: “Inuka, mpenzi wangu mzuri, uje hapa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpendwa wangu alinena, akaniambia, Ondoka, mpenzi wangu, mzuri wangu, uje zako,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupenzi wangu ananiambia, akisema: Simama basi, ewe mupenzi wangu, unayependeza, kuja tuende zetu.