Song of Solomon 2:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee hua wangu, uliyejificha miambani. Hebu niuone uso wako, hebu niisikie sauti yako, maana sauti yako yapendeza na uso wako wavutia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hua wangu penye nyufa za majabali, mafichoni pembezoni mwa mlima, nioneshe uso wako, na niisikie sauti yako, kwa maana sauti yako ni tamu, na uso wako unapendeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hua wangu, mafichoni mwa jabali, Katika sitara za magenge, Nitazame uso wako, nisikie sauti yako, Maana sauti yako ni tamu na uso wako mzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee hua wangu, uliyejificha miambani. Hebu niuone uso wako, hebu niisikie sauti yako, maana sauti yako yapendeza na uso wako wavutia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hua wangu penye nyufa za majabali, mafichoni pembezoni mwa mlima, nionyeshe uso wako, na niisikie sauti yako, kwa maana sauti yako ni tamu, na uso wako unapendeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hua wangu penye nyufa za majabali, mafichoni pembezoni mwa mlima, nionyeshe uso wako, na niisikie sauti yako, kwa maana sauti yako ni tamu, na uso wako unapendeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hua wangu, mafichoni mwa jabali, Katika sitara za, magenge Nitazame uso wako, nisikie sauti yako, Maana sauti yako ni tamu na uso wako unapendeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee hua wangu, uliyejificha miambani. Hebu niuone uso wako, hebu niisikie sauti yako, maana sauti yako yapendeza na uso wako wavutia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hua yangu hapo ngomeni penye mwamba, ulijificha magengeni, nipe kuuona uso wako, nipe kuisikia nayo sauti yako! Kwani sauti yako ni tamu, nao uso wako unapendeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hua wangu, mafichoni mwa jabali, Katika sitara za magenge, Nitazame uso wako, nisikie sauti yako, Maana sauti yako ni tamu na uso wako mzuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee njiwa yangu, uliyejificha katika matundu kwenye mulima, uniache kuona uso wako na kusikia sauti yako, maana sauti yako ni nzuri na uso wako unapendeza.