Song of Solomon 2:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpenzi wangu ni wangu, nami ni wake. Yeye hulisha kondoo wake penye yungiyungi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpenzi wangu ni wangu, nami ni wake, yeye hujilisha kati ya yungiyungi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpendwa wangu ni wangu, na mimi ni wake; Hulisha kundi lake penye nyinyoro.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpenzi wangu ni wangu, nami ni wake. Yeye hulisha kondoo wake penye yungiyungi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpenzi wangu ni wangu, nami ni wake, hujilisha katikati ya yungiyungi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpenzi wangu ni wangu, nami ni wake, yeye hujilisha katikati ya yungiyungi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpendwa wangu ni wangu, na mimi ni wake; Hulisha kundi lake penye nyinyoro.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpenzi wangu ni wangu, nami ni wake. Yeye hulisha kondoo wake penye yungiyungi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpendwa wangu ni wangu, nami ni wake yeye alishaye penye nyinyoro.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpendwa wangu ni wangu, na mimi ni wake; Hulisha kundi lake penye nyinyoro.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupenzi wangu ni wangu, nami ni wake. Yeye anakulisha kondoo wake penye yungiyungi.