Song of Solomon 2:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hadi hapo jua linapochomoza na vivuli kutoweka. Rudi kama paa mpenzi wangu, kama swala mdogo juu ya milima ya Betheri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hadi jua linapochomoza, na vivuli vikimbie, rudi, mpenzi wangu, na uwe kama paa, au kama ayala mchanga juu ya vilima vya Betheri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata jua lipunge, na vivuli vikimbie, Unigeukie, mpendwa wangu, Nawe uwe kama paa, au ayala, Juu ya milima ya Betheri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hadi hapo jua linapochomoza na vivuli kutoweka. Rudi kama paa mpenzi wangu, kama swala mdogo juu ya milima ya Betheri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpaka jua linapochomoza, na vivuli vikimbie, rudi, mpenzi wangu, na uwe kama paa, au kama ayala kijana juu ya vilima vya Betheri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpaka jua linapochomoza, na vivuli vikimbie, rudi, mpenzi wangu, na uwe kama paa, au kama ayala kijana juu ya vilima vya Betheri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata jua lipunge, na vivuli vikimbie, Unigeukie, mpendwa wangu, Nawe uwe kama paa, au ayala, Juu ya milima ya Betheri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hadi hapo jua linapochomoza na vivuli kutoweka. Rudi kama paa mpenzi wangu, kama swala mdogo juu ya milima ya Betheri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka jua la mchana lipunguke ukali, vivuli vikijiendea mbiombio, geuka, mpendwa wangu, uruke kama paa au kijana wa kulungu, milimani kwenye makorongo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata jua lipunge, na vivuli vikimbie, Unigeukie, mpendwa wangu, Nawe uwe kama paa, au ayala, Juu ya milima ya Betheri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mpaka pale jua linapochomoza na vivuli kutoweka, rudi kama paa, mupenzi wangu, kama swala mudogo juu ya milima ya Beteri.