Song of Solomon 2:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alinichukua hadi ukumbi wa karamu, akatweka bendera ya mapenzi juu yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amenichukua hadi ukumbi wa karamu, na bendera ya huyu mwanaume juu yangu ni upendo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akanileta mpaka nyumba ya karamu, Na bendera yake juu yangu ni mapenzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alinichukua hadi ukumbi wa karamu, akatweka bendera ya mapenzi juu yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amenichukua mpaka kwenye ukumbi wa karamu, na bendera ya huyu mwanaume juu yangu ni upendo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amenichukua mpaka kwenye ukumbi wa karamu, na bendera ya huyu mwanaume juu yangu ni upendo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akanileta mpaka nyumba ya karamu, Na bendera yake juu yangu ni mapenzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alinichukua hadi ukumbi wa karamu, akatweka bendera ya mapenzi juu yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaniingiza nyumbani, wanyweamo mvinyo, nayo bendera yake iliyokuwa juu yangu, ni upendo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akanileta mpaka nyumba ya karamu, Na bendera yake juu yangu ni mapenzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alinipeleka mpaka katika chumba cha karamu, akapandisha bendera ya mapenzi juu yangu.