Song of Solomon 3:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama! Ni machela ya Solomoni; amebebwa juu ya kiti chake cha enzi; amezungukwa na walinzi sitini, mashujaa bora wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama! Ni gari la Sulemani likisindikizwa na mashujaa sitini, walio wakuu sana wa Israeli,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, ni machela yake Sulemani; Mashujaa sitini waizunguka, Wa mashujaa wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama! ni machela ya Solomoni; amebebwa juu ya kiti chake cha enzi; amezungukwa na walinzi sitini, mashujaa bora wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama! Ni gari la Solomoni lisindikizwalo na mashujaa sitini, walio wakuu sana wa Israeli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama! Ni gari la Sulemani lisindikizwalo na mashujaa sitini, walio wakuu sana wa Israeli,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, ni machela yake Sulemani; Mashujaa sitini waizunguka, Wa mashujaa wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama! Ni machela ya Solomoni; amebebwa juu ya kiti chake cha enzi; amezungukwa na walinzi sitini, mashujaa bora wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni! Kiko kiti, ni cha kifalme cha Salomo! Wanguvu sitini wanakizunguka, ndio wanguvu wa Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, ni machela yake Sulemani; Mashujaa sitini waizunguka, Wa mashujaa wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia! Ni kipoyi cha Solomono, akibebwa juu ya kiti chake cha kifalme, akizungukwa na walinzi makumi sita, mashujaa bora wa Israeli.