Song of Solomon 3:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mmoja wao ameshika upanga, kila mmoja wao ni hodari wa vita. Kila mmoja ana upanga wake mkononi, tayari kumkabili adui usiku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wote wamevaa panga, wote wazoefu katika vita, kila mmoja na upanga wake pajani, wamejiandaa kwa ajili ya vitisho vya usiku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote wameshika upanga, Wamehitimu kupigana; Kila mtu anao upanga wake pajani Kwa hofu ya kamsa za usiku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mmoja wao ameshika upanga, kila mmoja wao ni hodari wa vita. Kila mmoja ana upanga wake mkononi, tayari kumkabili adui usiku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wote wamevaa panga, wote wazoefu katika vita, kila mmoja na upanga wake pajani, wamejiandaa kwa ajili ya hofu za usiku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wote wamevaa panga, wote wazoefu katika vita, kila mmoja na upanga wake pajani, wamejiandaa kwa ajili ya hofu za usiku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote wameshika upanga, Wamehitimu kupigana; Kila mtu anao upanga wake pajani Kwa hofu ya kamsa za usiku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mmoja wao ameshika upanga, kila mmoja wao ni hodari wa vita. Kila mmoja ana upanga wake mkononi, tayari kumkabili adui usiku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wote wanashika panga, ni mafundi wa vita, kila mmoja anao upanga wake kiunoni pake wa kukingia mastusho ya usiku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote wameshika upanga, Wamehitimu kupigana; Kila mtu anao upanga wake pajani Kwa hofu ya kamsa za usiku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mumoja wao ameshika upanga, kila mumoja wao ni hodari wa vita. Kila mumoja ana upanga wake kwenye kiuno, tayari kupambana na adui usiku.