Song of Solomon 3:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Solomoni alijitengenezea machela, kwa mbao nzuri kutoka Lebanoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Sulemani alijitengenezea gari; alilitengeneza kwa mbao kutoka Lebanoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme Sulemani alijifanyizia machela Ya miti ya Lebanoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Solomoni alijitengenezea machela, kwa mbao nzuri kutoka Lebanoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Solomoni alijitengenezea gari; alitengeneza kwa mbao kutoka Lebanoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Sulemani alijitengenezea gari; alilitengeneza kwa mbao kutoka Lebanoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme Sulemani alijitengenezea machela Ya miti ya Lebanoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Solomoni alijitengenezea machela, kwa mbao nzuri kutoka Lebanoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kiti hicho mfalme Salomo alijitengenezea kwa miti ya Libanoni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme Sulemani alijifanyizia machela Ya miti ya Lebanoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Solomono alijitengenezea kipoyi, kwa mbao nzuri kutoka Lebanoni.