Song of Solomon 4:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika u mzuri ewe mpenzi wangu, hakika u mzuri! Macho yako ni kama ya hua nyuma ya shela lako, nywele zako ni kama kundi la mbuzi washukao katika milima ya Gileadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpendwa wangu! Ee, jinsi ulivyo mzuri! Macho yako nyuma ya shela yako ni kama ya hua. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi wakishuka kutoka Mlima Gileadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, u mzuri, mpenzi wangu, U mzuri, macho yako ni kama ya hua, Nyuma ya barakoa yako. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi, Wakijilaza mbavuni pa mlima Gileadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika u mzuri ewe mpenzi wangu, hakika u mzuri! Macho yako ni kama ya hua nyuma ya shela lako, nywele zako ni kama kundi la mbuzi washukao katika milima ya Gileadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu! O, jinsi ulivyo mzuri! Macho yako nyuma ya shela yako ni kama ya hua. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi zikishuka kutoka Mlima Gileadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu! Ee, jinsi ulivyo mzuri! Macho yako nyuma ya shela yako ni kama ya hua. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi zikishuka kutoka Mlima Gileadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, u mzuri, mpenzi wangu, U mzuri, macho yako ni kama ya hua, Nyuma ya barakoa yako. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi, Wakijilaza mbavuni pa mlima Gileadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika u mzuri ewe mpenzi wangu, hakika u mzuri! Macho yako ni kama ya hua nyuma ya shela lako, nywele zako ni kama kundi la mbuzi washukao katika milima ya Gileadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikikutazama, mpenzi wangu, u mwanamke mzuri, nikikutazama, u mwanamke mzuri kweli, macho yako huwa ya hua yakichungulia katika mtandio wako; nywele zako zinafanana na kundi la mbuzi walalao upande wa kushukia wa mlimani kwa Gileadi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, u mzuri, mpenzi wangu, U mzuri, macho yako ni kama ya hua, Nyuma ya barakoa yako. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi, Wakijilaza mbavuni pa mlima Gileadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika sura yako ni nzuri, ewe mupenzi wangu, hakika sura yako ni nzuri! Macho yako ni mazuri kama ya njiwa ndani ya ushungi wako. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi wanaoshuka kwenye milima ya Gileadi.