Song of Solomon 4:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
U chemchemi ya bustani, kisima cha maji yaliyo hai, vijito vitiririkavyo kutoka Lebanoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe ni chemchemi ya bustani, kisima cha maji yanayotiririka, yakitiririka kutoka Lebanoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe ndiwe chemchemi ya bustani yangu, Kisima cha maji yaliyo hai, Vijito vya Lebanoni viendavyo kasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
U chemchemi ya bustani, kisima cha maji yaliyo hai, vijito vitiririkavyo kutoka Lebanoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe ni chemchemi ya bustani, kisima cha maji yatiririkayo, yatiririkayo kutoka Lebanoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe ni chemchemi ya bustani, kisima cha maji yatiririkayo, yakitiririka kutoka Lebanoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe ndiwe chemchemi ya bustani yangu, Kisima cha maji yaliyo hai, Vijito vya Lebanoni viendavyo kasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
U chemchemi ya bustani, kisima cha maji yaliyo hai, vijito vitiririkavyo kutoka Lebanoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo chemchemi iko bustanini na kisima chenye maji ya uzima na vijito vitokavyo Libanoni.”
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe ndiwe chemchemi ya bustani yangu, Kisima cha maji yaliyo hai, Vijito vya Lebanoni viendavyo kasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ni chemichemi ya bustani, kisima cha maji yasiyokauka, vijito vinavyotiririka kutoka milima ya Lebanoni.