Song of Solomon 4:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vuma, ewe upepo wa kaskazi, njoo, ewe upepo wa kusi; vumeni juu ya bustani yangu, mlijaze anga kwa manukato yake. Mpenzi wangu na aje bustanini mwake, ale matunda yake bora kuliko yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amka, upepo wa kaskazini, na uje, upepo wa kusini! Vuma juu ya bustani yangu, ili harufu yake nzuri iweze kuenea mpaka ng’ambo. Mpenzi wangu na aje bustanini mwake na kuonja matunda mazuri sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amka, kaskazi; nawe uje, kusi; Vumeni juu ya bustani yangu, Manukato ya bustani yatokee. Mpendwa wangu na aingie bustanini mwake, Akayale matunda yake mazuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vuma, ewe upepo wa kaskazi, njoo, ewe upepo wa kusi; vumeni juu ya bustani yangu, mlijaze anga kwa manukato yake. Mpenzi wangu na aje bustanini mwake, ale matunda yake bora kuliko yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amka, upepo wa kaskazini, na uje, upepo wa kusini! Vuma juu ya bustani yangu, ili harufu yake nzuri iweze kuenea mpaka ng'ambo. Mpendwa wangu na aje bustanini mwake na kuonja matunda mazuri sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amka, upepo wa kaskazini, na uje, upepo wa kusini! Vuma juu ya bustani yangu, ili harufu yake nzuri iweze kuenea mpaka ng’ambo. Mpendwa wangu na aje bustanini mwake na kuonja matunda mazuri sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amka, kaskazi; nawe uje, kusi; Vumeni juu ya bustani yangu, Manukato ya bustani yatokee. Mpendwa wangu na aingie bustanini mwake, Akayale matunda yake mazuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vuma, ewe upepo wa kaskazi, njoo, ewe upepo wa kusi; vumeni juu ya bustani yangu, mlijaze anga kwa manukato yake. Mpenzi wangu na aje bustanini mwake, ale matunda yake bora kuliko yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inuka, upepo wa kaskazini! Njoo, upepo wa kusini! Vuma bustanini mwangu, minuko yake mizuri ifurikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amka, kaskazi; nawe uje, kusi; Vumeni juu ya bustani yangu, Manukato ya bustani yatokee. Mpendwa wangu na aingie bustanini mwake, Akayale matunda yake mazuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vuma, ewe upepo wa kaskazini, kuja, ewe upepo wa kusini, muvume juu ya bustani yangu, mujaze anga kwa marasi, mupenzi wangu akuje katika bustani yake akule matunda yake bora kuliko yote.