Song of Solomon 4:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Meno yako ni kama kondoo majike waliokatwa manyoya wanaoteremka baada ya kuogeshwa. Kila mmoja amezaa mapacha, na hakuna yeyote aliyefiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Meno yako ni kama kundi la kondoo waliokatwa manyoya sasa hivi, wanaotoka kuogeshwa. Kila jino lina pacha lake; hakuna hata moja lililo pekee.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Meno yako ni kama kundi waliokatwa manyoya, Wakipanda kutoka kuoshwa, Ambao kila mmoja amezaa mapacha, Wala hakuna aliyefiwa kati yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Meno yako ni kama kondoo majike waliokatwa manyoya wanaoteremka baada ya kuogeshwa. Kila mmoja amezaa mapacha, na hakuna yeyote aliyefiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Meno yako ni kama kundi la kondoo waliokatwa manyoya sasa hivi, watokao kuogeshwa. Kila mmoja ana pacha lake, hakuna hata mmoja aliye peke yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Meno yako ni kama kundi la kondoo waliokatwa manyoya sasa hivi, watokao kuogeshwa. Kila mmoja ana pacha lake, hakuna hata mmoja aliye peke yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Meno yako ni kama kundi waliokatwa manyoya, Wakipanda kutoka kuoshwa, Ambao kila mmoja amezaa mapacha, Wala hakuna aliyefiwa kati yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Meno yako ni kama kondoo majike waliokatwa manyoya wanaoteremka baada ya kuogeshwa. Kila mmoja amezaa mapacha, na hakuna yeyote aliyefiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Meno yako ni kama kundi la kondoo waliokatwa manyoya, wanaopanda na kutoka majini wakiisha kuogeshwa, wote pia ni wenye wana wa pacha, kwao hakuna hata mmoja aliye peke yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Meno yako ni kama kundi waliokatwa manyoya, Wakipanda kutoka kuoshwa, Ambao kila mmoja amezaa mapacha, Wala hakuna aliyefiwa kati yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Meno yako ni kama kundi la kondoo dike waliokatwa manyoya, wanaotoka kwenye maji kisha kuogeshwa; kila mumoja akiwa na pacha lake, na hakuna yeyote aliyekufiwa.