Song of Solomon 4:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakaa kwenye mlima wa manemane, na kwenye kilima cha ubani, hadi hapo kutakapopambazuka, na giza kutoweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata kupambazuke na vivuli vikimbie, nitaenda kwenye mlima wa manemane na kwenye kilima cha uvumba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata jua lipunge, na vivuli vikimbie, Nitakwenda kwenye mlima wa manemane, Na kwenye kilima cha ubani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakaa kwenye mlima wa manemane, na kwenye kilima cha ubani, hadi hapo kutakapopambazuka, na giza kutoweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata papambazuke na vivuli vikimbie, nitakwenda kwenye mlima wa manemane na kwenye kilima cha uvumba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata kupambazuke na vivuli vikimbie, nitakwenda kwenye mlima wa manemane na kwenye kilima cha uvumba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata jua lipunge, na vivuli vikimbie, Nitakwenda kwenye mlima wa manemane, Na kwenye kilima cha ubani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakaa kwenye mlima wa manemane, na kwenye kilima cha ubani, hadi hapo kutakapopambazuka, na giza kutoweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka jua la mchana lipunguke ukali, vivuli vijiendee mbiombio, ndipo, nitakapokwenda zangu mlimani kwenye manemane, hata kilimani kwenye uvumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata jua lipunge, na vivuli vikimbie, Nitakwenda kwenye mlima wa manemane, Na kwenye kilima cha ubani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakaa kwenye mulima wa marasi, na kwenye kilima cha ubani, mpaka pale kutakapopambazuka, na giza kutoweka.