Song of Solomon 4:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njoo, bibiarusi wangu tuondoke Lebanoni; na tuiachilie mbali Lebanoni. Shuka toka kilele cha mlima Amana, toka kilele cha Seniri na Hermoni, toka mapango ya simba, toka milima ya chui.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nenda nami kutoka Lebanoni, bibi arusi wangu, nenda nami kutoka Lebanoni. Shuka kutoka ncha ya Amana, kutoka juu ya Seniri, kilele cha Hermoni, kutoka mapango ya simba na kutoka mlima wapendapo kukaa chui.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bibi arusi, njoo pamoja nami toka Lebanoni, Pamoja nami toka Lebanoni. Shuka kutoka kilele cha Amana, Kutoka vilele vya Seniri na Hermoni; Kutoka mapangoni mwa simba, Kutoka milimani mwa chui.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njoo, bibiarusi wangu tuondoke Lebanoni; na tuiachilie mbali Lebanoni. Shuka toka kilele cha mlima Amana, toka kilele cha Seniri na Hermoni, toka mapango ya simba, toka milima ya chui.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Twende pamoja nami kutoka Lebanoni, bibi arusi wangu, twende pamoja nami kutoka Lebanoni. Shuka kutoka ncha ya Amana, kutoka juu ya Seniri, kilele cha Hermoni, kutoka mapango ya simba na kutoka mlima wapendapo kukaa chui.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enda nami kutoka Lebanoni, bibi arusi wangu, enda nami kutoka Lebanoni. Shuka kutoka ncha ya Amana, kutoka juu ya Seniri, kilele cha Hermoni, kutoka mapango ya simba na kutoka mlima wapendapo kukaa chui.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bibi harusi, njoo pamoja nami toka Lebanoni, Pamoja nami toka Lebanoni. Shuka kutoka kilele cha Amana, Kutoka vilele vya Seniri na Hermoni; Kutoka mapangoni mwa simba, Kutoka milimani mwa chui.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njoo, bibiarusi wangu tuondoke Lebanoni; na tuiachilie mbali Lebanoni. Shuka toka kilele cha mlima Amana, toka kilele cha Seniri na Hermoni, toka mapango ya simba, toka milima ya chui.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toka Libanoni, mchumba wangu, twende pamoja! Toka Libanoni, twende pamoja, njoo! Tazama, huko juu Amana nako juu Seniri na Hermoni ndiko, simba wanakokaa, hata machui wako kule milimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bibi arusi, njoo pamoja nami toka Lebanoni, Pamoja nami toka Lebanoni. Shuka kutoka kilele cha Amana, Kutoka vilele vya Seniri na Hermoni; Kutoka mapangoni mwa simba, Kutoka milimani mwa chui.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuja, muchumba wangu, tuondoke Lebanoni, na tuiache mbali milima ya Lebanoni. Shuka toka kilele cha mulima Amana, toka kilele cha Seniri na Hermoni, toka mashimo ya simba, toka kwenye milima ya chui.