Song of Solomon 5:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu, mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpenzi wangu anang’aa, tena ni mwekundu, wa kuvutia miongoni mwa wanaume kumi elfu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpendwa wangu ni mweupe, tena mwekundu, Mashuhuri miongoni mwa elfu kumi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu, mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpenzi wangu anang'aa tena mwekundu kwa afya, wakuvutia miongoni mwa wanaume kumi elfu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpenzi wangu anang’aa, tena ni mwekundu, wa kuvutia miongoni mwa wanaume kumi elfu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpendwa wangu ni mweupe, tena mwekundu, Mashuhuri miongoni mwa elfu kumi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu, mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpendwa wako anawapitaje wapendwa wengine, ukituapisha hivyo?” Mpendwa wangu ni mweupe sana, tena mwekundu, anajulikana katika elfu kumi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpendwa wangu ni mweupe, tena mwekundu, Mashuhuri miongoni mwa elfu kumi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupenzi wangu ni muzuri na ni mwekundu, anatambulikana kati ya wanaume elfu kumi.