Song of Solomon 5:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi, nywele zake ni za ukoka, nyeusi ti kama kunguru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kichwa chake ni dhahabu safi kuliko zote, nywele zake ni za mawimbi na ni nyeusi kama kunguru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kichwa chake ni kama dhahabu safi sana, Nywele zake ni za ukoka, nyeusi kama kunguru;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi, nywele zake ni za ukoka, nyeusi ti kama kunguru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kichwa chake ni dhahabu safi kuliko zote, nywele zake ni za mawimbi na ni nyeusi kama kunguru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kichwa chake ni dhahabu safi kuliko zote, nywele zake ni za mawimbi na ni nyeusi kama kunguru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kichwa chake ni kama dhahabu safi sana, Nywele zake ni za ukoka, nyeusi kama kunguru;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi, nywele zake ni za ukoka, nyeusi ti kama kunguru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkikitazama kichwa chake, ni kama dhahabu tupu, misuko ya nywele zake nayo ni makuti yaning'iniayo, nazo ni nyeusi kama kunguru.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kichwa chake ni kama dhahabu safi sana, Nywele zake ni za ukoka, nyeusi kama kunguru;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kichwa chake ni kizuri kama zahabu safi, nywele zake ni zenye kulembelea, nyeusi sana kama kibombobombo.