Song of Solomon 5:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito, ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Macho yake ni kama ya hua kandokando ya vijito vya maji, aliyeogeshwa kwenye maziwa, yaliyopangwa kama vito vya thamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Macho yake ni kama hua penye vijito, Wakioga kwa maziwa, wakiikalia mito iliyojaa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito, ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Macho yake ni kama ya hua kandokando ya vijito vya maji, aliyeogeshwa kwenye maziwa, yamepangwa kama vito vya thamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Macho yake ni kama ya hua kandokando ya vijito vya maji, aliyeogeshwa kwenye maziwa, yaliyopangwa kama vito vya thamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Macho yake ni kama hua penye vijito, Wakioga kwa maziwa, wakiikalia mito iliyojaa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito, ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Macho yake kama ya hua waliopo penye vijito vya maji, hujiogesha katika maziwa, huwapo na kuchangamka sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Macho yake ni kama hua penye vijito, Wakioga kwa maziwa, wakiikalia mito iliyojaa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Macho yake ni kama ya njiwa kandokando ya kijito, ni kama njiwa waliooga maziwa pembeni ya kijito.