Song of Solomon 5:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu, amevalia johari za Tarshishi. Kiwiliwili chake ni kama pembe za ndovu zilizopambwa kwa vito vya johari ya rangi ya samawati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mikono yake ni fimbo za dhahabu iliyopambwa kwa krisolitho. Mwili wake ni kama pembe ya ndovu iliyong’arishwa iliyopambwa na yakuti samawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mikono yake ni kama mianzi ya dhahabu, lliyopambwa kwa zabarajadi; Kiwiliwili chake kama kazi ya pembe, Iliyonakishiwa kwa yakuti samawi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu, amevalia johari za Tarshishi. Kiwiliwili chake ni kama pembe za ndovu zilizopambwa kwa vito vya johari ya rangi ya samawati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mikono yake ni fimbo za dhahabu iliyopambwa kwa Krisolitho. Mwili wake ni kama pembe ya ndovu iliyong'arishwa iliyopambwa na yakuti samawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mikono yake ni fimbo za dhahabu iliyopambwa kwa krisolitho. Mwili wake ni kama pembe ya ndovu iliyong’arishwa iliyopambwa na yakuti samawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mikono yake ni kama mianzi ya dhahabu, lliyopambwa kwa zabarajadi; Kiwiliwili chake kama kazi ya pembe, Iliyonakishiwa kwa yakuti samawi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu, amevalia johari za Tarshishi. Kiwiliwili chake ni kama pembe za ndovu zilizopambwa kwa vito vya johari ya rangi ya samawati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mikono yake ni vigogo vya dhahabu zilizotiwa vito vingi vya Tarsisi, tumbo lake ni urembo wa meno ya tembo uliofunikwa na vito vya safiro.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mikono yake ni kama mianzi ya dhahabu, lliyopambwa kwa zabarajadi; Kiwiliwili chake kama kazi ya pembe, Iliyonakishiwa kwa yakuti samawi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mikono yake ni kama pete za zahabu, amevaa mawe ya bei kali. Kiwiliwili chake ni kama pembe za tembo zilizopambwa kwa mawe ya yakuti ya rangi ya samawi.