Song of Solomon 5:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miguu yake ni kama nguzo za alabasta zilizosimikwa katika misingi ya dhahabu. Umbo lake ni kama Lebanoni, ni bora kama miti ya mierezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miguu yake ni nguzo za marumaru zilizosimikwa katika vitako vya dhahabu safi. Sura yake ni kama Lebanoni, bora kama miti yake ya mierezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miguu yake ni kama nguzo za marimari, Zilizowekwa juu ya misingi ya dhahabu; Sura yake ni kama Lebanoni, Ni bora mfano wa mierezi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miguu yake ni kama nguzo za alabasta zilizosimikwa katika misingi ya dhahabu. Umbo lake ni kama Lebanoni, ni bora kama miti ya mierezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miguu yake ni nguzo za marmar zilizosimikwa katika vitako vya dhahabu safi. Sura yake ni kama Lebanoni, mzuri kama miti yake ya mierezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miguu yake ni nguzo za marmar zilizosimikwa katika vitako vya dhahabu safi. Sura yake ni kama Lebanoni, bora kama miti yake ya mierezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miguu yake ni kama nguzo za marimari, Zilizowekwa juu ya misingi ya dhahabu; Sura yake ni kama Lebanoni, Ni bora mfano wa mierezi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miguu yake ni kama nguzo za alabasta zilizosimikwa katika misingi ya dhahabu. Umbo lake ni kama Lebanoni, ni bora kama miti ya mierezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Paja zake ni nguzo za mawe meupe juu ya misingi ya dhahabu tupu; ukimtazama, anafanana na Libanoni, ni mtukufu kama miangati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miguu yake ni kama nguzo za marimari, Zilizowekwa juu ya misingi ya dhahabu; Sura yake ni kama Lebanoni, Ni bora mfano wa mierezi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miguu yake ni kama nguzo za mawe meusi, zilizosimikwa katika misingi ya zahabu. Umbo lake ni kama mulima Lebanoni, ni bora kama miti ya mierezi.