Song of Solomon 5:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimekwisha yavua mavazi yangu, nitayavaaje tena? Nimekwisha nawa miguu yangu, niichafueje tena?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimevua joho langu: je, ni lazima nivae tena? Nimenawa miguu yangu: je, ni lazima niichafue tena?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimeivua kanzu yangu; niivaeje? Nimeitawadha miguu; niichafueje?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimekwisha yavua mavazi yangu, nitayavaaje tena? Nimekwisha nawa miguu yangu, niichafueje tena?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimevua joho langu: je, ni lazima nivae tena? Nimenawa miguu yangu: je, ni lazima niichafue tena?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimevua joho langu: je, ni lazima nivae tena? Nimenawa miguu yangu: je, ni lazima niichafue tena?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimeivua kanzu yangu; niivaeje? Nimenawa miguu; niichafueje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimekwisha yavua mavazi yangu, nitayavaaje tena? Nimekwisha nawa miguu yangu, niichafueje tena?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikajibu: Nimekwisha kuivua kanzu yangu, nitaivaaje tena? Nikaisha kuiogesha miguu yangu, nitawezaje kuichafua tena?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimeivua kanzu yangu; niivaeje? Nimeitawadha miguu; niichafueje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekwisha kuvua nguo zangu, nitazivaa namna gani tena? Nimekwisha kunawa miguu yangu, niichafue namna gani tena?