Song of Solomon 5:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walinzi wa mji waliniona, walipokuwa wanazunguka mjini; wakanipiga na kunijeruhi; nao walinzi wa lango wakaninyanganya shela langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walinzi walinikuta walipokuwa wakifanya zamu za ulinzi mjini. Walinipiga, wakanijeruhi, wakaninyang’anya joho langu, hao walinzi wa kuta!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walinzi wazungukao mjini waliniona, Wakanipiga na kunitia jeraha, Walinzi walindao kuta zake Wakaninyang'anya shela yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walinzi wa mji waliniona, walipokuwa wanazunguka mjini; wakanipiga na kunijeruhi; nao walinzi wa lango wakaninyang'anya shela langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walinzi walinikuta walipokuwa wakifanya zamu za ulinzi mjini. Walinipiga, walinijeruhi, walininyang'anya joho langu, hao walinzi wa kuta!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walinzi walinikuta walipokuwa wakifanya zamu za ulinzi mjini. Walinipiga, wakanijeruhi, wakaninyang’anya joho langu, hao walinzi wa kuta!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walinzi wazungukao mjini waliniona, Wakanipiga na kunitia jeraha, Walinzi walindao kuta zake Wakaninyang'anya shela yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walinzi wa mji waliniona, walipokuwa wanazunguka mjini; wakanipiga na kunijeruhi; nao walinzi wa lango wakaninyanganya shela langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walinzi wazungukao mjini waliponiona wakanipiga na kuniumiza, wakanivua mtandio wangu wale walinzi wa boma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walinzi wazungukao mjini waliniona, Wakanipiga na kunitia jeraha, Walinzi walindao kuta zake Wakaninyang’anya shela yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinzi wa muji walinikuta, walipokuwa wakizunguka katika muji. Wakanipiga na kuniumiza; nao walinzi wa mulango wakaninyanganya ushungi wangu.