Song of Solomon 5:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawasihini, enyi wanawake wa Yerusalemu, mkimwona mpenzi wangu, mwelezeni kwamba naugua kwa mapenzi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Enyi binti za Yerusalemu, ninawaagiza: mkimpata mpenzi wangu, mtamwambia nini? Mwambieni ninazimia kwa mapenzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Ninyi mkimwona mpendwa wangu, Ni nini mtakayomwambia? Ya kwamba nazimia kwa mapenzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawasihini, enyi wanawake wa Yerusalemu, mkimwona mpenzi wangu, mwelezeni kwamba naugua kwa mapenzi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Enyi binti za Yerusalemu, ninawaagiza: kama mkimpata mpenzi wangu, mtamwambia nini? Mwambieni ninazimia kwa mapenzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enyi binti za Yerusalemu, ninawaagiza: kama mkimpata mpenzi wangu, mtamwambia nini? Mwambieni ninazimia kwa mapenzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Ninyi mkimwona mpendwa wangu, Ni nini mtakayomwambia? Ya kwamba nazimia kwa mapenzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawasihini, enyi wanawake wa Yerusalemu, mkimwona mpenzi wangu, mwelezeni kwamba naugua kwa mapenzi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawaapisha ninyi, wanawake wa Yerusalemu: Mkimwona mpendwa wangu mtampasha habari gani? Ya kuwa mimi nimeugua kwa upendo tu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Ninyi mkimwona mpendwa wangu, Ni nini mtakayomwambia? Ya kwamba nazimia kwa mapenzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawasihi, enyi wabinti wa Yerusalema, mukimwona mupenzi wangu, mumwelezee kwamba ninaugua kwa ajili ya mapenzi!