Song of Solomon 5:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe upendezaye kuliko wanawake wote! Kwani huyo mpenzi wako ana nini cha zaidi ya mpenzi mwingine, hata utusihi kwa moyo kiasi hicho?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mpenzi wako ni bora kuliko wengine namna gani, wewe uliye mzuri kupita wanawake wote? Je, mpenzi wako ni mzuri kuliko wengine, namna gani, hata unatuagiza hivyo?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Wewe uliye mzuri katika wanawake, Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Hata wewe utusihi hivyo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe upendezaye kuliko wanawake wote! Kwani huyo mpenzi wako ana nini cha zaidi ya mpenzi mwingine, hata utusihi kwa moyo kiasi hicho?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mpendwa wako ni bora kuliko wengine namna gani, ni mzuri sana kupita wanawake wote? Je, mpendwa wako ni mzuri kuliko wengine, kwa namna gani, hata unatuagiza hivyo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mpendwa wako ni bora kuliko wengine namna gani, wewe uliye mzuri kupita wanawake wote? Je, mpendwa wako ni mzuri kuliko wengine, namna gani, hata unatuagiza hivyo?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Wewe uliye mzuri katika wanawake, Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Hata wewe utusihi hivyo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe upendezaye kuliko wanawake wote! Kwani huyo mpenzi wako ana nini cha zaidi ya mpenzi mwingine, hata utusihi kwa moyo kiasi hicho?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
“Mpendwa wako anawapitaje wapendwa wengine, wewe uliye mzuri miongoni mwa wanawake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Wewe uliye mzuri katika wanawake, Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Hata wewe utusihi hivyo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe unayependeza kuliko wabinti wote, huyo mupenzi wako ana nini cha zaidi ya mupenzi mwingine, hata utusihi kwa moyo mpaka pale?