Song of Solomon 6:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bila kutazamia, mpenzi wangu, akanitia katika gari la mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabla sijang’amua, shauku yangu iliniweka katikati ya magari ya vita ya wakuu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kabla sijajua, roho yangu ilinileta Katikati ya magari ya wakuu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bila kutazamia, mpenzi wangu, akanitia katika gari la mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabla sijang'amua, shauku yangu iliniweka katikati ya magari ya kifalme ya kukokotwa na farasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabla sijang’amua, shauku yangu iliniweka katikati ya magari ya kifalme ya kukokotwa na farasi ya watu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kabla sijajua, roho yangu ilinileta Katikati ya magari ya wakuu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bila kutazamia, mpenzi wangu, akanitia katika gari la mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipokuwa siviangalii, roho yangu ikanipeleka, ikaniweka penye magari, nayo yalikuwa ya wakuu wa kwetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kabla sijajua, roho yangu ilinileta Katikati ya magari ya wakuu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bila kutazamia, mupenzi wangu akanitia katika gari la mukubwa.