Song of Solomon 6:13 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Rudi, rudi ewe msichana wa Mshulami. Rudi, rudi tupate kukutazama. Mbona mwataka kunitazama miye Mshulami kana kwamba mnatazama ngoma kati ya majeshi mawili?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rudi, rudi, ee Mshulami; rudi, rudi ili tupate kukutazama! Kwa nini kumtazama Mshulami, kama kutazama ngoma ya Mahanaimu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Rudi, rudi, Mshulami, Rudi, rudi, ili sisi tukutazame.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Rudi, rudi ewe msichana wa Mshulami. Rudi, rudi tupate kukutazama. Mbona mwataka kunitazama miye Mshulami kana kwamba mnatazama ngoma kati ya majeshi mawili?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rudi, rudi, Ee Mshulami; rudi, rudi ili tupate kukutazama! Kwa nini kumtazama Mshulami, kama kutazama ngoma ya Mahanaimu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rudi, rudi, ee Mshulami; rudi, rudi ili tupate kukutazama! Kwa nini kumtazama Mshulami, kama kutazama ngoma ya Mahanaimu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Rudi, rudi, Mshulami, Rudi, rudi, ili sisi tukutazame. Kwani mnataka kumtazama Mshulami, Kama kutazama ngoma ya Mahanaimu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Rudi, rudi ewe msichana wa Mshulami. Rudi, rudi tupate kukutazama. Mbona mwataka kunitazama miye Mshulami kana kwamba mnatazama ngoma kati ya majeshi mawili?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
“Rudi! Rudi, Sulamiti! Rudi! Rudi, tukutazame vema!” Mnatakaje kumtazama Sulamiti? Anafanana na michezo ya vita ya Mahanaimu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)