Song of Solomon 6:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hua wangu, mzuri wangu, ni mmoja tu, na ni kipenzi cha mama yake; yeye ni wa pekee kwa mama yake. Wasichana humtazama na kumwita heri, nao malkia na masuria huziimba sifa zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini hua wangu, mkamilifu wangu, ni wa namna ya pekee, binti pekee kwa mama yake, kipenzi cha yeye aliyemzaa. Wanawali walimwona na kumwita aliyebarikiwa; malkia na masuria walimsifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hua wangu, mkamilifu wangu, ni mmoja tu, Mtoto wa pekee wa mamaye. Ndiye kipenzi chake aliyemzaa, Binti wakamwona wakamwita heri; Malkia na masuria nao wakamwona, Wakamsifu, wakisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hua wangu, mzuri wangu, ni mmoja tu, na ni kipenzi cha mama yake; yeye ni wa pekee kwa mama yake. Wasichana humtazama na kumwita heri, nao malkia na masuria huziimba sifa zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini hua wangu, mkamilifu wangu, ni wa namna ya pekee, binti pekee kwa mama yake, kipenzi cha yeye aliyemzaa. Wanawali walimwona na kumwita mbarikiwa; malkia na masuria walimsifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini hua wangu, mkamilifu wangu, ni wa namna ya pekee, binti pekee kwa mama yake, kipenzi cha yeye aliyemzaa. Wanawali walimwona na kumwita aliyebarikiwa; malkia na masuria walimsifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hua wangu, mkamilifu wangu, ni mmoja tu, Mtoto wa pekee wa mamaye. Ndiye kipenzi chake aliyemzaa, Binti wakamwona wakamwita heri; Malkia na masuria nao wakamwona, Wakamsifu, wakisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hua wangu, mzuri wangu, ni mmoja tu, na ni kipenzi cha mama yake; yeye ni wa pekee kwa mama yake. Wasichana humtazama na kumwita heri, nao malkia na masuria huziimba sifa zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yuko mmoja tu aliye hua wangu na mwenzangu atakataye, ni mwana wa pekee wa mama yake, aliyemzaa humpenda sana; wanawali wenzake wakimwona humwazia kuwa mwenye shangwe, nao wanawake wa kifalme na masuria humtukuza.”
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hua wangu, mkamilifu wangu, ni mmoja tu, Mtoto wa pekee wa mamaye. Ndiye kipenzi chake aliyemzaa, Binti wakamwona wakamwita heri; Malkia na masuria nao wakamwona, Wakamsifu, wakisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna anayekuwa sawa njiwa yangu. Anaenea kabisa. Ni kipenzi cha mama yake, ni binti wake pekee. Wabinti wanamwangalia na kumwita mwenye heri, nao malkia na wahabara wanaimba sifa zake.