Song of Solomon 7:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyayo zako katika viatu zapendeza sana! Ewe mwanamwali wa kifalme. Mapaja yako ya mviringo ni kama johari, kazi ya msanii hodari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee binti ya mwana wa mfalme, tazama jinsi inavyopendeza miguu yako katika viatu! Miguu yako yenye madaha ni kama vito vya thamani, kazi ya mikono ya fundi stadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siti msharifu, jinsi zilivyo nzuri Hatua zako katika mitalawanda. Mapaja yako ya mviringo ni kama johari, Kazi ya mikono ya fundi mstadi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyayo zako katika viatu zapendeza sana! ewe mwanamwali wa kifalme. Mapaja yako ya mviringo ni kama johari, kazi ya msanii hodari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee binti wa mwana wa mfalme, tazama jinsi inavyopendeza miguu yako katika viatu! Miguu yako yenye madaha ni kama vito vya thamani, kazi ya mikono ya fundi stadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee binti wa mwana wa mfalme, tazama jinsi inavyopendeza miguu yako katika viatu! Miguu yako yenye madaha ni kama vito vya thamani, kazi ya mikono ya fundi stadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Binti wa kimalkia, jinsi ulivyo mzuri Hatua zako katika mitarawanda. Mapaja yako ya mviringo ni kama johari, Kazi ya mikono ya fundi stadi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyayo zako katika viatu zapendeza sana! Ewe mwanamwali wa kifalme. Mapaja yako ya mviringo ni kama johari, kazi ya msanii hodari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miguu yako yenye mitalawanda ni mizuri mno, binti mkuu! Viuno vyako vinaviringana kama mapambo ya shingoni yaliyotengenezwa na mikono ya mtu aliye fundi kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siti msharifu, jinsi zilivyo nzuri Hatua zako katika mitalawanda. Mapaja yako ya mviringo ni kama johari, Kazi ya mikono ya fundi mstadi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Rudia, rudia ewe binti Musulami. Rudia, rudia tupate kukuangalia. Kwa nini munataka kumwangalia Musulami sawa vile munaangalia muchezo wa ngoma kati ya makundi mawili?