Song of Solomon 7:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Harufu nzuri ya tunguja imejaa hewani karibu na milango yetu kuna kila aina ya matunda bora, yote mapya na ya siku za nyuma, ambayo nimekuwekea wewe mpenzi wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mitunguja hutoa harufu zake nzuri, kwenye milango yetu kuna matunda mazuri, mapya na ya zamani, ambayo nimekuhifadhia wewe, mpenzi wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mitunguja hutoa harufu yake; Juu ya milango yetu yako matunda mazuri, Mapya na ya kale, ya kila namna, Niliyokuwekea, mpendwa wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Harufu nzuri ya tunguja imejaa hewani karibu na milango yetu kuna kila aina ya matunda bora, yote mapya na ya siku za nyuma, ambayo nimekuwekea wewe mpenzi wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mitunguja hutoa harufu zake nzuri, kwenye milango yetu kuna matunda mazuri, mapya na ya zamani, ambayo nimekuhifadhia wewe, mpenzi wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mitunguja hutoa harufu zake nzuri, kwenye milango yetu kuna matunda mazuri, mapya na ya zamani, ambayo nimekuhifadhia wewe, mpenzi wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mitunguja hutoa harufu yake; Juu ya milango yetu yako matunda mazuri, Mapya na ya kale, ya kila namna, Niliyokuwekea, mpendwa wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Harufu nzuri ya tunguja imejaa hewani karibu na milango yetu kuna kila aina ya matunda bora, yote mapya na ya siku za nyuma, ambayo nimekuwekea wewe mpenzi wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mitunguja sasa inanuka, napo milangoni petu yapo matunda mazuri, mapya na ya mwaka uliopita; ndiyo, niliyokuwekea, mpendwa wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mitunguja hutoa harufu yake; Juu ya milango yetu yako matunda mazuri, Mapya na ya kale, ya kila namna, Niliyokuwekea, mpendwa wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tutaamuka mapema, tuende kwenye mashamba ya mizabibu, tuone kama imeanza kuchipuka, na kama maua ya zabibu yamekwisha kuchanua, vilevile kama mikomamanga imeanza kutoa maua. Kule ndiko nitakapokupatia pendo langu.