Song of Solomon 7:14 — Compare Translations

1 translations compared side by side

Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Harufu nzuri ya dudai imejaa katika hewa. Karibu na milango yetu kuna kila aina ya matunda bora, yote mapya na ya siku za nyuma, ambayo nimekuwekea wewe mupenzi wangu.