Song of Solomon 7:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kitovu chako ni kama bakuli lisilokosa divai iliyokolezwa. Tumbo lako ni kama lundo la ngano lililozungushiwa yungiyungi kandokando.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kitovu chako ni kama bilauri ya mviringo ambayo kamwe haikosi divai iliyochanganywa. Kiuno chako ni kichuguu cha ngano kilichozungukwa kwa yungiyungi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kitovu chako ni kama bilauri iliyoviringana, Na isikose divai iliyochanganyika; Tumbo lako ni mfano wa chungu ya ngano, Iliyozungukwa na ugo wa nyinyoro;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kitovu chako ni kama bakuli lisilokosa divai iliyokolezwa. Tumbo lako ni kama lundo la ngano lililozungushiwa yungiyungi kandokando.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kitovu chako ni kama bilauri ya mviringo ambayo kamwe haikosi divai iliyochanganywa. Kiuno chako ni kichuguu cha ngano kilichozungukwa kwa yungiyungi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kitovu chako ni kama bilauri ya mviringo ambayo kamwe haikosi divai iliyochanganywa. Kiuno chako ni kichuguu cha ngano kilichozungukwa kwa yungiyungi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kitovu chako ni kama bakuli la mviringo, Na isikose divai iliyochanganyika; Tumbo lako ni mfano wa chungu cha ngano, Iliyozungukwa na ugo wa nyinyoro;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kitovu chako ni kama bakuli lisilokosa divai iliyokolezwa. Tumbo lako ni kama lundo la ngano lililozungushiwa yungiyungi kandokando.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kitovu chako ni kama chano kilichoviringana, kisichokosa mvinyo iliyotiwa viungo vizuri; tumbo lako ni kama chungu ya ngano iliyozingwa na nyinyoro.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kitovu chako ni kama bilauri iliyoviringana, Na isikose divai iliyochanganyika; Tumbo lako ni mfano wa chungu ya ngano, Iliyozungukwa na ugo wa nyinyoro;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miguu yako inapendeza sana katika viatu, ewe binti wa kifalme. Mizunguko ya kiuno chako ni kama ushanga, kazi ya fundi hodari.