Song of Solomon 7:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matiti yako ni kama paa mapacha, ni kama swala wawili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matiti yako ni kama wana-paa wawili, mapacha wa paa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maziwa yako mawili ni kama wana-paa wawili, Ambao ni mapacha ya paa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matiti yako ni kama paa mapacha, ni kama swala wawili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matiti yako ni kama wana paa wawili, mapacha wa swala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matiti yako ni kama wana-paa wawili, mapacha wa paa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matiti yako mawili ni kama wanapaa wawili, Ambao ni mapacha ya paa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matiti yako ni kama paa mapacha, ni kama swala wawili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maziwa yako mawili hufanana na vitoto viwili vya kulungu, au na wana wa pacha wa paa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maziwa yako mawili ni kama wana-paa wawili, Ambao ni mapacha ya paa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitofu chako ni kama bakuli lisilokosa divai iliyokolezwa. Tumbo lako ni kama lundo la ngano lililozungushiwa mayungiyungi pembeni.