Song of Solomon 7:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kichwa chako juu yako ni kama mlima Karmeli, nywele zako za ukoka zangaa kama zambarau; uzuri wako waweza kumteka hata mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kichwa chako kinakuvika taji kama Mlima Karmeli. Nywele zako ni kama zulia la urujuani; mfalme ametekwa na mashungi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kichwa chako juu yako ni kama Karmeli, Na nywele za kichwa chako kama urujuani, Mfalme amenaswa na mashungu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kichwa chako juu yako ni kama mlima Karmeli, nywele zako za ukoka zang'aa kama zambarau; uzuri wako waweza kumteka hata mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kichwa chako kinakuvika taji kama mlima Karmeli. Nywele zako ni kama zulia nene la kutundika ukutani; mfalme ametekwa na mashungi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kichwa chako kinakuvika taji kama mlima Karmeli. Nywele zako ni kama zulia la urujuani; mfalme ametekwa na mashungi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kichwa chako juu yako ni kama Karmeli, Na nywele za kichwa chako kama urujuani, Mfalme amenaswa na mashungi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kichwa chako juu yako ni kama mlima Karmeli, nywele zako za ukoka zangaa kama zambarau; uzuri wako waweza kumteka hata mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kichwa chako hapa juu ni kama Karmeli, nywele za kichwani pako ni nyekundu kama nguo za kifalme, hata mfalme angependa kufungwa nayo hiyo misuko ya nywele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kichwa chako juu yako ni kama Karmeli, Na nywele za kichwa chako kama urujuani, Mfalme amenaswa na mashungu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shingo yako ni kama munara wa pembe za tembo. Macho yako ni kama visima vya muji wa Hesiboni, karibu na mulango wa Beti-Rabi. Pua yako ni kama munara wa Lebanoni, ambao unauelekea muji wa Damasiki.