Song of Solomon 7:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilisema nitaupanda mtende na kuzichuma shada za tende. Kwangu matiti yako ni kama shada za zabibu, harufu nzuri ya pumzi yako ni kama matofaa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilisema, “Nitakwea mtende, nami nitayashika matunda yake.” Matiti yako na yawe kama vishada vya mzabibu, harufu nzuri ya pumzi yako kama matofaa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nilisema, Nitapanda huo mtende, Na kuyashika makuti yake. Maziwa yako na yawe kama vichala vya mzabibu, Na harufu ya pumzi yako kama mapera;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilisema nitaupanda mtende na kuzichuma shada za tende. Kwangu matiti yako ni kama shada za zabibu, harufu nzuri ya pumzi yako ni kama matofaa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilisema, “Nitakwea mtende, nami nitayashika matunda yake.” Matiti yako na yawe kama vishada vya mzabibu, harufu nzuri ya pumzi yako kama matofaa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilisema, “Nitakwea mtende, nami nitayashika matunda yake.” Matiti yako na yawe kama vishada vya mzabibu, harufu nzuri ya pumzi yako kama matofaa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilisema, Nitapanda huo mtende, Na kuyashika makuti yake. Matiti yako na yawe kama vichala vya mzabibu, Na harufu ya pumzi yako kama mapera;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilisema nitaupanda mtende na kuzichuma shada za tende. Kwangu matiti yako ni kama shada za zabibu, harufu nzuri ya pumzi yako ni kama matofaa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilisema: Nitaupanda mtende huu, niyashike makuti yake, maziwa yako yaniwie kama vichala vya mzabibu, nao mnuko wa pumzi yako uniwie kama wa machungwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nilisema, Nitapanda huo mtende, Na kuyashika makuti yake. Maziwa yako na yawe kama vichala vya mzabibu, Na harufu ya pumzi yako kama mapera;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umbo lako linapendeza kama muti wa ngazi, maziba yako ni kama shada za ngazi.