Song of Solomon 7:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kinywa chako ni kama divai tamu. Basi divai na itiririke hadi kwa mpenzi wangu, ipite juu ya midomo yake na meno yake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kinywa chako kama divai bora kuliko zote. Divai na iende moja kwa moja hadi kwa mpenzi wangu, ikitiririka polepole juu ya midomo na meno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kinywa chako kama divai iliyo bora, Kwa mpendwa wangu inashuka taratibu, Ikitiririka midomoni mwao walalao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kinywa chako ni kama divai tamu. Basi divai na itiririke hadi kwa mpenzi wangu, ipite juu ya midomo yake na meno yake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kinywa chako kama divai bora kuliko zote. Divai na iende moja kwa moja kwa mpenzi wangu, ikitiririka pole pole juu ya midomo na meno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kinywa chako kama divai bora kuliko zote. Divai na iende moja kwa moja hadi kwa mpenzi wangu, ikitiririka polepole juu ya midomo na meno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kinywa chako kama divai iliyo bora, Kwa mpendwa wangu inashuka taratibu, Ikitiririka midomoni mwao walalao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kinywa chako ni kama divai tamu. Basi divai na itiririke hadi kwa mpenzi wangu, ipite juu ya midomo yake na meno yake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kinywa chako ni kama mvinyo njema inayompendeza mpendwa wako, akiinywa, nayo hupita polepole midomoni mwao walalao usingizi.”
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kinywa chako kama divai iliyo bora, Kwa mpendwa wangu inashuka taratibu, Ikitiririka midomoni mwao walalao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilisema nitapanda muti wa ngazi na kuchuma shada za ngazi. Kwangu maziba yako ni kama shada za zabibu, harufu nzuri ya pumzi yako ni kama matunda ya mutofaa;