Song of Solomon 8:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti ungekuwa kaka yangu, ambaye amenyonyeshwa na mama yangu! Hivyo, hata kama ningekutana nawe nje, ningekubusu na hakuna ambaye angenidharau.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti ungekuwa kwangu kama ndugu wa kiume, ambaye aliyanyonya matiti ya mama yangu! Kisha, kama ningekukuta huko nje, ningekubusu, wala hakuna mtu yeyote angenidharau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti ungekuwa kama ndugu yangu, Aliyeyanyonya matiti ya mamangu! Kama ningekukuta huko nje, Ningekubusu, asinidharau mtu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti ungekuwa kaka yangu, ambaye amenyonyeshwa na mama yangu! Hivyo, hata kama ningekutana nawe nje, ningekubusu na hakuna ambaye angenidharau.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti ungelikuwa kwangu kama ndugu wa kiume, ambaye aliyanyonya matiti ya mama yangu! Kisha, kama ningekukuta huko nje, ningelikubusu, wala hakuna mtu ye yote angelinidharau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti ungelikuwa kwangu kama ndugu wa kiume, ambaye aliyanyonya matiti ya mama yangu! Kisha, kama ningekukuta huko nje, ningelikubusu, wala hakuna mtu yeyote angelinidharau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti ungekuwa kama ndugu yangu, Aliyeyanyonya matiti ya mamangu! Kama ningekukuta huko nje, Ningekubusu, asinidharau mtu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti ungekuwa kaka yangu, ambaye amenyonyeshwa na mama yangu! Hivyo, hata kama ningekutana nawe nje, ningekubusu na hakuna ambaye angenidharau.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Laiti ungekuwa kama umbu aliyeyanyonya maziwa ya mama yangu! Kama ningekukuta nje ningekunonea pasipo kuona watu watakaonibeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti ungekuwa kama ndugu yangu, Aliyeyanyonya matiti ya mamangu! Kama ningekukuta huko nje, Ningekubusu, asinidharau mtu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri ungekuwa kaka yangu, ambaye amenyonyeshwa na mama yangu! Hivyo, hata kama ningekutana nawe inje, ningekubusu na hakuna ambaye angenizarau.