Song of Solomon 8:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shamba langu la mizabibu ni shamba langu mwenyewe, naam, ni shamba langu binafsi! Basi, Solomoni, wewe ukae na elfu zako za fedha, na kila mlinzi wa matunda akae na mia mbili zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini shamba langu la mizabibu ambalo ni langu mwenyewe ni langu kutoa; hizo shekeli elfu moja ni kwa ajili yako, ee Sulemani, na shekeli mia mbili ni kwa ajili ya wale wanaotunza matunda yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shamba langu la mizabibu, lililo langu mimi, li mbele yangu. Basi, Sulemani, wewe uwe na elfu zako, Na hao wayalindao matunda yake wapewe mia mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shamba langu la mizabibu ni shamba langu mwenyewe, naam, ni shamba langu binafsi! Basi, Solomoni, wewe ukae na elfu zako za fedha, na kila mlinzi wa matunda akae na mia mbili zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini shamba langu la mizabibu ambalo ni langu mwenyewe ni langu kutoa; hizo shekeli 1,000 ni kwa ajili yako, Ee Solomoni, na shekeli mia mbili ni kwa ajili ya wale wanaotunza matunda yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini shamba langu la mizabibu ambalo ni langu mwenyewe ni langu kutoa; hizo shekeli 1,000 ni kwa ajili yako, ee Sulemani, na shekeli mia mbili ni kwa ajili ya wale wanaotunza matunda yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shamba langu la mizabibu, lililo langu mimi, liko mbele yangu. Basi, Sulemani, wewe uwe na elfu zako, Na hao wayalindao matunda yake wapewe mia mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shamba langu la mizabibu ni shamba langu mwenyewe, naam, ni shamba langu binafsi! Basi, Solomoni, wewe ukae na elfu zako za fedha, na kila mlinzi wa matunda akae na mia mbili zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Shamba langu la mizabibu ni langu, ninaliangalia mimi; zile fedha ninakuachia wewe, Salomo, tena mia mbili za kuwapa wao wayalindao matunda yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shamba langu la mizabibu, lililo langu mimi, li mbele yangu. Basi, Sulemani, wewe uwe na elfu zako, Na hao wayalindao matunda yake wapewe mia mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shamba langu la mizabibu ni shamba langu mwenyewe. Basi, Solomono, wewe ukae na elfu zako za feza, na kila mulinzi wa matunda akae na mia mbili zake.