Song of Solomon 8:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe uliye shambani, rafiki zangu wanasikiliza sauti yako; hebu nami niisikie tafadhali!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe ukaaye bustanini pamoja na rafiki mliohudhuria, hebu nisikie sauti yako!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe ukaaye bustanini, Hao rafiki huisikiliza sauti yako; Unisikizishe mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe uliye shambani, rafiki zangu wanasikiliza sauti yako; hebu nami niisikie tafadhali!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe ukaaye bustanini pamoja na marafiki mliohudhuria, unisikizishe na mimi sauti yako!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe ukaaye bustanini pamoja na marafiki mliohudhuria, hebu nisikie sauti yako!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe ukaaye bustanini, Hao rafiki huisikiliza sauti yako; Unisikizishe mimi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe uliye shambani, rafiki zangu wanasikiliza sauti yako; hebu nami niisikie tafadhali!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
“Wewe ukaaye bustanini, wenzako huisikiliza sauti yako; itoe namo masikioni mwangu mimi!”
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe ukaaye bustanini, Hao rafiki huisikiliza sauti yako; Unisikizishe mimi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe unayekuwa katika shamba, warafiki zangu wanasikiliza sauti yako; basi nami niisikilize tafazali!