Song of Solomon 8:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ningekuongoza na kukufikisha nyumbani kwa mama mzazi, mahali ambapo ungenifundisha upendo. Ningekupa divai nzuri iliyokolezwa, ningekupa divai yangu ya makomamanga yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ningekuongoza na kukuleta katika nyumba ya mama yangu, yeye ambaye amenifundisha. Ningekupa divai iliyokolezwa unywe, asali ya maua ya mikomamanga yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ningekuongoza nyumbani mwa mamangu, Naye angenifundisha;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ningekuongoza na kukufikisha nyumbani kwa mama mzazi, mahali ambapo ungenifundisha upendo. Ningekupa divai nzuri iliyokolezwa, ningekupa divai yangu ya makomamanga yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ningelikuongoza na kukuleta katika nyumba ya mama yangu, yeye ambaye amenifundisha. Ningelikupa divai iliyokolezwa unywe, asali ya maua ya mikomamanga yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ningelikuongoza na kukuleta katika nyumba ya mama yangu, yeye ambaye amenifundisha. Ningelikupa divai iliyokolezwa unywe, asali ya maua ya mikomamanga yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ningekuongoza nyumbani mwa mamangu, Naye angenifundisha; Ningekunywesha divai iliyokolea, Divai mpya ya mkomamanga wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ningekuongoza na kukufikisha nyumbani kwa mama mzazi, mahali ambapo ungenifundisha upendo. Ningekupa divai nzuri iliyokolezwa, ningekupa divai yangu ya makomamanga yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ningekuongoza, nikupeleke nyumbani mwa mama yangu, ungenifundisha; kisha ningekunywesha mvinyo yenye viungo, nayo ni mbichi iliyotengenezwa kwa komamanga zangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ningekuongoza nyumbani mwa mamangu, Naye angenifundisha; Ningekunywesha divai iliyokolea, Divai mpya ya mkomamanga wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ningekuongoza na kukufikisha ndani ya nyumba ya mama muzazi, pahali ambapo ungenifundisha upendo. Ningekupa divai nzuri iliyokolezwa, ningekupa divai yangu ya makomamanga yangu.