Titus 1:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wasiendelee kushikilia hadithi tupu za Kiyahudi na maagizo ya kibinadamu yanayozuka kwa watu walioukataa ukweli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili wasiendelee kuangalia hadithi za Kiyahudi au maagizo ya wale watu wanaoikataa kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wasisikilize hadithi za Kiyahudi, wala maagizo ya watu wajiepushao na yaliyo kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na wasiendelee kuzisikilliza simulizi zinazopotosha za Kiyahudi na amri za wanadamu walioiacha kweli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wasiendelee kushikilia hadithi tupu za Kiyahudi na maagizo ya kibinadamu yanayozuka kwa watu walioukataa ukweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wasiendelee kushikilia hadithi tupu za Kiyahudi na maagizo ya kibinadamu yanayozuka kwa watu walioukataa ukweli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili wasiendelee kuangalia hadithi za Kiyahudi au maagizo ya wale watu wanaoikataa kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili wasiendelee kuangalia hadithi za Kiyahudi au maagizo ya wale watu wanaoikataa kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wasisikilize hadithi za Kiyahudi, wala maagizo ya watu waukataao ukweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wasiendelee kushikilia hadithi tupu za Kiyahudi na maagizo ya kibinadamu yanayozuka kwa watu walioukataa ukweli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wasiyashike masimulio ya Kiyuda, wala maagizo ya watu waliogeuka na kuyaacha yalio ya kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wasisikilize hadithi za Kiyahudi, wala maagizo ya watu wajiepushao na yaliyo kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na zaidi ya ile hawatafuata hadisi za uongo za Kiyuda wala maagizo ya watu waliopotoka mbali na ukweli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wasisikilize hadithi za Kiyahudi, na maagizo ya wana Adamn wajiepushao na kweli.