Titus 2:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili wawazoezeshe kina mama vijana kuwapenda waume zao na watoto,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili waweze kuwafundisha wanawake vijana kuwa na kiasi, wawapende waume zao na kuwapenda watoto wao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili wawatie wanawake vijana akili, wawapende waume zao, na kuwapenda watoto wao;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa jinsi hiyo wataweza kuwakumbusha wanawake vijana jinsi wanavyopaswa kuishi. Wanawake vijana wanapaswa kuwaonesha upendo waume zao na kuwapenda watoto wao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ili wawazoeze kina mama vijana kuwapenda waume zao na watoto,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili wawazoezeshe kina mama vijana kuwapenda waume zao na watoto,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili waweze kuwafundisha wanawake vijana kuwa na kiasi, wawapende waume zao na kuwapenda watoto wao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili waweze kuwafundisha wanawake vijana kuwa na kiasi, wawapende waume zao na kuwapenda watoto wao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili wawatie wanawake vijana akili, wawapende waume zao, na kuwapenda watoto wao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili wawazoezeshe kina mama vijana kuwapenda waume zao na watoto,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wapate kuwaerevusha wanawake walio vijana bado, wawapende waume na watoto wao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili wawatie wanawake vijana akili, wawapende waume zao, na kuwapenda watoto wao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa njia hii wataweza kuwafundisha vijana wanawake kuwapenda waume wao na watoto wao,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illi wawatie akili wanawake vijana wawapende wanme zao, ka kuwapenda watoto wao,