Titus 3:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jitahidi kumsaidia mwanasheria Zena na Apolo ili waweze kuanza ziara zao, na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fanya kila uwezalo uwasafirishe Zena yule mwanasheria na Apolo na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji katika safari yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zena, yule mwana-sheria, na Apolo, uwasafirishe kwa bidii, wasipungukiwe na cho chote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Jitahidi kumsaidia mwanasheria Zena pamoja na Apolo kwa lo lote watakalohitaji kwa ajili ya safari yao, ili wasipungukiwe na kitu cho chote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Jitahidi kumsaidia mwana sheria Zena na Apolo ili waweze kuanza ziara zao na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jitahidi kumsaidia mwanasheria Zena na Apolo ili waweze kuanza ziara zao, na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fanya kila uwezalo uwasafirishe Zena yule mwanasheria na Apolo na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji katika safari yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fanya kila uwezalo uwasafirishe Zena yule mwanasheria na Apolo na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji katika safari yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jaribu uwezavyo kumsaidia Zena, yule mwanasheria, na Apolo, ili wakiwa safarini wasipungukiwe na chochote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jitahidi kumsaidia mwanasheria Zena na Apolo ili waweze kuanza ziara zao, na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akina Zena aliye mjuzi wa Maonyo na Apolo watume upesi, waende zao; lakini uwatunzie vema, wasikose yawapasayo njiani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zena, yule mwana-sheria, na Apolo, uwasafirishe kwa bidii, wasipungukiwe na cho chote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujikaze upate kumusafirisha vizuri mwanasheria Zenasi pamoja na Apolo, kusudi wasikose kitu chochote wanachohitaji katika safari yao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Zena, mjua sharia, na Apollo uwusafirishe kwa bidii; wasipungukiwe cho chote.